Kwa neema ya Allah, tafsiri ya maana za Qur'an Tukufu kwa (Kibrazil, Kireno, Kiajemi/Kifursi, Kiswahili, Kijerumani, na Kihausa) imekamilika. ...
Tunamshukuru Allah… Kazi ya kuutafsiri “Msahafu wa Nuur” Imekamilika kwa lugha 10 za ulimwenguni, katika kutafsiri maana za Qur’an Tukufu. ...