Tunamshukuru Allah… Kazi ya kuutafsiri “Msahafu wa Nuur” Imekamilika kwa lugha 10 za ulimwenguni, katika kutafsiri maana za Qur’an Tukufu.
Kwa neema ya Allah, tafsiri ya maana za Qur'an Tukufu kwa (Kibrazil, Kireno, Kiajemi/Kifursi, Kiswahili, Kijerumani, na Kihausa) imekamilika.