Tafsiri ya Maana za Qur'an Tukufu katika lugha mbalimbali

2025-11-27

 Tafsiri ya Maana za Qur'an Tukufu katika lugha mbalimbali

 Kwa neema ya Allah, tafsiri ya maana za Qur'an Tukufu kwa (Kibrazil, Kireno, Kiajemi/Kifursi, Kiswahili, Kijerumani, na Kihausa) imekamilika.

Na kwa sasa inapatikana katika Duka la Nuur International.