السورة: AL-MUTWAFFIFIIN 

الآية : 31

وَإِذَا ٱنقَلَبُوٓاْ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِمُ ٱنقَلَبُواْ فَكِهِينَ

Na wanaporudi kwa watu wao hurudi nao wamefurahi



السورة: AL-MUTWAFFIFIIN 

الآية : 32

وَإِذَا رَأَوۡهُمۡ قَالُوٓاْ إِنَّ هَـٰٓؤُلَآءِ لَضَآلُّونَ

Na wanapo waona husema: Hakika hawa ndio hasa walio potea



السورة: AL-MUTWAFFIFIIN 

الآية : 33

وَمَآ أُرۡسِلُواْ عَلَيۡهِمۡ حَٰفِظِينَ

Na wao hawakutumwa wawe walinzi juu yao



السورة: AL-MUTWAFFIFIIN 

الآية : 34

فَٱلۡيَوۡمَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ مِنَ ٱلۡكُفَّارِ يَضۡحَكُونَ

Basi leo walio amini ndio watawacheka makafiri,



السورة: AL-MUTWAFFIFIIN 

الآية : 35

عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ يَنظُرُونَ

Nao wako juu ya viti vya enzi wakiangalia



السورة: AL-MUTWAFFIFIIN 

الآية : 36

هَلۡ ثُوِّبَ ٱلۡكُفَّارُ مَا كَانُواْ يَفۡعَلُونَ

Je! makafiri wamelipwa malipo ya yale waliyokuwa wakiyatenda?